Watch the food video

If the player does not load, watch this video on YouTube.

Channel: Cook with Nana

Uploaded: July 4, 2026

About this video

Siri ya kupika rosti ya nyama ya ng'ombe tamu kupita kiasi /How to make perfect beef stew is a food-focused video published by Cook with Nana on July 4, 2026. The original video is embedded here for viewers to follow the creator's food preparation, recipe, tasting or food-story content. Katika video hii utajifunza: ✔️ Siri za kufanya nyama iwe laini na yenye ladha.

Details shared by the creator

Katika video hii utajifunza: ✔️ Siri za kufanya nyama iwe laini na yenye ladha. ✔️ Namna ya kutengeneza mchuzi mzito na wenye rangi nzuri. ✔️ Viungo vinavyofanya rosti iwe tamu zaidi. ✔️ Makosa ya kuepuka ili rosti yako itoke perfect kila wakati. MAHITAJI

  • 0.5kg Nyama
  • 1 tsp paste ya saumu
  • 1 tsp pilipili mtama (black pepper)
  • 1 tsp pilipili mwendokasi iliyopondwa
  • 1 tbsp limao
  • 1 tbsp SOY SAUCE
  • 1 tsp Royco
  • 1 tsp Mchuzi mix
  • Kitunguu maji
  • Hoho
  • Karoti
  • Viazi mviringo kiasi
  • Nyanya 4 kubwa ZINGATIA:-
  • tsp inamaanisha kijiko cha chai
  • tbsp inamaanisha kijiko cha chakula Rosti hii inapendeza kuliwa na: 🍚 Wali 🥔 Viazi 🌽 Ugali 🍌 Ndizi Na Pilau au chakula kingine unachokipenda. Kama umefurahia video hii, usisahau: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe na uwashe kengele ili usikose mapishi mengine matamu yatakayofuata. Asante sana kwa kutazama, tukutane kwenye video nyingine.
✳
Keep your curiosity going.

Good information should help you ask better questions, not stop asking them.