Watch the food video
Channel: Cook with Nana
Uploaded: August 9, 2026
About this video
Siri ya Kupika Kabichi ya Nyanya Tamu Sana, WENGI HAWAJUI SIRI HII/ (Easy Tomato Cabbage recipe) is a food-focused video published by Cook with Nana on August 9, 2026. The original video is embedded here for viewers to follow the creator's food preparation, recipe, tasting or food-story content. Leo tunapika Kabichi ya Nyanya, mboga rahisi, tamu na yenye ladha nzuri.
Details shared by the creator
Leo tunapika Kabichi ya Nyanya, mboga rahisi, tamu na yenye ladha nzuri. Katika video hii nimekuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuandaa kabichi kwa kutumia nyanya, karoti na hoho. Unaweza kula kabichi hii pamoja na wali, ugali au chakula kingine unachopenda. Jaribu mapishi haya nyumbani na usisahau kuniambia umeionaje kwenye comment. š VIUNGO (INGREDIENTS) š„¬ Kabichi nusu kubwa au kabichi 1 ndogo (Cabbage) š Nyanya 2 kubwa (Tomatoes) š„ Karoti 1 (Carrot) š« Hoho 1 (Bell Pepper) š§ Kitunguu maji 1 (Onion) š¶ļø Kijiko 1 kidogo cha karipoda (Curry Powder) š¶ļø Robo kijiko kidogo cha black pepper (Black Pepper) š§ Chumvi kiasi (Salt) š Vijiko 2 vya chakula vya maji ya limau (Lemon Juice) š Kijiko 1 kidogo cha tomato paste (Tomato Paste) š« Mafuta kiasi kwa kupikia (Cooking Oil) š§ Maji kidogo, kama utahitaji mchuzi zaidi (Water) ā¤ļø Kama umeipenda video hii, usisahau LIKE, COMMENT, SHARE na SUBSCRIBE kwa mapishi zaidi. š Pia niambie kwenye comment, unaangalia video hii ukiwa mkoa gani?
Good information should help you ask better questions, not stop asking them.


